Q Chief afanya utani kwa Harmonize mbele ya Kajala

Msanii Harmonize akiwa na Q Chief

Moja ya Surprise zilizofanyika kwenye usiku wa kukaribishwa msanii Anjella kwenye lebo ya Konde Gang basi uwepo wa wasanii wengine wakubwa Bongo kama Q Chief, TID, Christian Bella, Ben Pol ambao wote walipanda stejini kufanya show.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS