CAF, yaibana Simba SC Mashabiki wa Simba SC Klabu ya Simba SC itacheza bila mashabiki kwa mara ya kwanza katika uwanja wake wa nyumbani kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya El Merreikh ya Sudan, ikiwa ni maelekezo kutoka shirikisho la soka barani Afrika (CAF). Read more about CAF, yaibana Simba SC