Harambe stars kumpima Kim Poulsen
Timu ya taifa ya Tanzania taifa Stars inashuka dimbani leo saa 9:00 Alasiri kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya Harambee stars, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kueleka michezo ya kufuzu fainali za AFCON 2021.