Simba yainusa robo fainali klabu bingwa Afrika

Mshambuliaji wa Simba na mfungaji wa bao la kwanza, Jose Luis Miquissone (kushoto) akiwania mpira.

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al-Merrrik ya Sudan kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa makundi wa michuano hiyo na kuhitaji alama moja tu ili kutinga hatua inayofuata ya robo fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS