Waliouza vinyonga wa TZ kufikishwa Mahakamani
Watu wanne raia wa Tanzania leo Machi 12, 2021, wanafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kusafirisha vinyonga 74 na nyoka sita kutoka Milima ya Usambara mkoani Tanga na kuwauza kwa raia wakigeni na wanyama hao kukamatwa nchini Austria.