Bondia 'Marvelous' afariki dunia Bondia Marvin Hagler 'Marvelous' Bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa kati Marvin Hagler 'Marvelous' amefariki akiwa na umri wa miaka 66. Raia huyo wa Marekani alitawala ngumi za uzito wa kati kutoka 1979 hadi 1987. Read more about Bondia 'Marvelous' afariki dunia