"Rais hutoka kwa ratiba, unataka azurure"-Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuwapuuza wapotoshaji wanaosambaza taarifa za chuki, uongo na kuzua taharuki miongoni mwa wanajamii kuhusu afya ya Rais Dkt. John Magufuli na kusema kuwa ni mzima wa afya na hata leo asubuhi ameongea naye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS