Halaand alivyowaacha Messi na Ronaldo Ulaya

Erling Braut Haaland

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund ya Ujerumani Erling Braut Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 20 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, akiwa na umri wa miaka 20 lakini pia katika idadi ndogo ya michezo 14, baada ya kufunga mabao 2 dhidi ya Sevilla jana usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS