Mzee Kisauji apanga kufanya birthday mtandaoni Huyu Mzee Kisauji anayetrend Mzee Kasauji maarufu kama Baba wa Kambo ambaye amefahamika zaidi kwenye mitandao ya kijamii amesema hawezi kuacha kutumia mitandao pia amepanga kufanya 'birthday party' kwenye mtandao wa TikTok. Read more about Mzee Kisauji apanga kufanya birthday mtandaoni