'Iwe mvua iwe jua' Yanga yatoa tamko

Afisa Muhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz

Kuelekea mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya wenyeji Polisi Tanzania dhidi ya wageni wao Yanga SC kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Afisa Muhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema wapo tayari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS