''Sisi siyo kama kaka zetu'' - Serengeti Boys
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 Hababu Ally amesema wanakwenda kufanya vizuri katika mashindano hayo ya vijana yanayotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu nchini Morocco.