Waziri Kalemani atoa miezi 9 kwa TANESCO

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Matogolo Kalemani

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, ametoa muda wa miezi tisa kuanzia sasa, kuhakikisha ujenzi wa kituo cha kupozea umeme kinachojengwa mkoa wa Simiyu, uwe umekamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS