CCM ni chama kiongozi kwa Bara la Afrika

Dar es Salaam: Mchambuzi wa masuala ya siasa, Godfrey Mchungu, amesema kuwa kati ya vyama sita vya ukombozi vilivyobaki barani Afrika, ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee kinachobeba hadhi na nafasi ya kuwa chama kiongozi katika kundi hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS