Yanga SC yaishtumu TFF kuihujumu Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela akiongea na Wanahabari mchana wa leo kuelezea malalamiko yao ya kuhujumiwa. Klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu wake Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela, imesema haitendewi haki na mamlaka za soka nchini. Read more about Yanga SC yaishtumu TFF kuihujumu