Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Etienne Ndayiragije
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa wachezaji wa ndani, imetolewa katika mashindano ya CHAN yanayoendelea nchini Cameroon, baada ya kupata sare ya 2-2 katika mchezo wa mwisho wa kundi D, dhidi ya Guinea.