Simba yasajili mshambuliji wa Nigeria
Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Junior Lokosa raia wa Nigeria. Mkataba wa mchezaji huyo haujawekwa wazi kasaini mkataba wa muda gani na sasa safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania bara inafikisha idadi ya washambuliaji 4.