Serikali yawaonya wanaovujisha siri za mteja
Serikali imeyaonya makampuni ya simu ambayo watumishi wao wamekuwa sio waaminifu na wamekuwa wakivujisha siri za wateja wao kwa watu wengine na kuwataka wananchi wenye malalamiko kama hayo kuyawasilisha wizarani ili hatua kali za kisheria zichukuliwe.