Maana ya kifaransa alichoimba Alikiba
Msanii wa Bongofleva Alikiba amesema moja ya sababu kubwa ya kuimba kwa lugha ya kifaransa kwenye ngoma yake mpya Infidele ni kutokana na lugha hiyo kutumiwa na watu wengine duniani hivyo kuna uwezekano wa muziki wake kuwafikia watu wengi.