Michuano ya CHAN 2021 kuanza rasmi leo Cameroon
Sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani yaani CHAN kwa msimu huu wa mwaka 2021 zinataraji kufanyika usiku wa leo wa tarehe 16 januari 2021 nchini Cameroon ambapo michuano hiyo inataraji kuanza kwa michezo miwili ya ufunguzi.