Wanaojimilikisha nyumba za urithi wapewa onyo kali

Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Ilala, Christopher Myava

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ,(TAKUKURU) ,mkoa wa Ilala, imetoa onyo kali kwa waliokuwa wanajimilikisha viwanja na nyumba za urithi kinyume na utaratibu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS