"85% ya muziki ni kelele na fujo tu" - Barakah

Msanii Barakah The Prince

Ni 'Headlines' za msanii wa BongoFleva Barakah The Prince ambaye amenyoosha maelezo kwa kusema asilimia 85 ya muziki unaoimbwa sasa ni kelele, fujo na wasanii wanaimba bora wimbo utrend tu bila kuangalia topic.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS