IGP akanusha uzushi wa Traffic kukusanya mapato

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa si kweli kwamba Askari wa Usalama Barabarani, wanatoza faini za makosa ya usalama barabarani ili waweze kutimiza malengo waliyowekewa ya kukusanya mapato kila siku na kukuza pato la Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS