TFF yatoa ufafanuzi kikosi cha CHAN
Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Oscar Milambo, amesema malengo ya timu ya taifa ya TanzaniaTaifa Stars, kwenye michuano ya CHAN ni kuvuka hatua ya makundi ya michuano hiyo itakayofanyika nchini Cameroon mwezi Januari 2021.