Shilole ajibu kichambo cha Mange Kimambi
Ni 'headlines' za burudani ambapo kutoka jamhuri ya watu wa mtandao wa Instagram imetawala stori ya vichambo kutoka kwa mwanamitandao Mange Kimambi na msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole.