Rais Magufuli atumbua kigogo akiwa Tabora Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Bw. Revocatus Kuuli. Read more about Rais Magufuli atumbua kigogo akiwa Tabora