Ronaldo mchezaji bora wa Karne, Lewandoski bora
Mchezaji nyota wa klabu ya Juventus ya Italia na timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Mchezaji bora wa karne ya Dubai Global Soccer ambayo imetolewa na Baraza la Michezo la nchini Dubai usiku wa kuamkia hii leo.