Lulu Diva awadhihaki wanaomsema anaedit sana picha
Msanii wa BongoFleva Lulu Diva
Diva wa BongoFleva Lulu Diva amewajibu mashabiki wanaomsema kwamba aache kuji-edit kwenye picha zake anazo-post kwenye mitandao ya kijamii kwani anapoteza mvuto na uhalisia wake.