"Watu wana stress za hali ya hewa" - Rehema Bombo
Mwanaharakati wa mabadiliko ya tabia ya nchi Rehema Bombo ameeleza kuwa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na joto kuwa kali watu hawana stress za njaa wala umaskini ila wana stress kubwa ya hali ya hewa.