Barnaba Classic afunguka kutomsaidia baba yake

Msanii Barnaba Classic

Msanii Barnaba Classic amenyoosha maelezo kufuatia video clip inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha baba yake mzazi akilalamika kwamba anapata shida na hapati msaada kutoka kwa mwanaye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS