Gigy Money awaombea msaada Amber Rutty na mumewe

Amber Rutty na mumewe upande wa kulia, kushoto ni Gigy Money

Msanii Gigy Money amewaomba watu wa jamhuri ya mtandao wa Instagram kuchangia japo shilingi elfu 1 'bukubuku' kwa kila mmoja kwani inatosha kulipa faini ya kumtoa msanii Amber Rutty na mumewe ambao wapo nyuma ya nondo kwa sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS