Radi yaua watoto wawili Songwe

Pichani: mfano wa radi

Radi yaua watoto wawili wakike wa familia moja na kuwajeruhi baba na mama wakazi wa kijiji cha Shasya Kata ya halungu kilichopo wilayani mbozi mkoani songwe katika nyumba tatu tofauti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS