Raia wa Uganda achomoka Kisutu baada ya hukumu
Raia wa Uganda Noah Mukobe, amehukumiwa kulipa faini ya shilingi laki sita kwa kila kosa au kwenda jela kwa mwaka mmoja, baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ikiwemo kuingia nchini bila kibali.