Mo Dewji aomba radhi na kuungana na Kigwangalla Kushoto ni wachezaji wa Simba SC na kulia ni Mohammed Dewji na Hamisi Kigwandalla Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba SC Mohammed Dewji na Mbunge wa Nzega Vijijini Hamis Kigwangalla, wamemaliza tofauti zao. Read more about Mo Dewji aomba radhi na kuungana na Kigwangalla