Steve Nyerere awapa onyo kali Billnass na Nandy Pozi la Billnass na Nandy wakiwa katikati ya barabara Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram kuna picha ambazo zina-trend zikiwaonyesha wapenzi ambao ni Billnass na Nandy wakiwa barabarani wamelala huku wameweka poz la ku-kiss. Read more about Steve Nyerere awapa onyo kali Billnass na Nandy