Mo Dewji awapa ukweli wabunge kuhusu Bilioni 20

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji akiwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam.

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji amewatoa hofu wanachama na mashabiki juu uwekezaji wake wa Bilioni 20 kwakuwa mambo yakiwa sawa watafikia tamati ya mjadala huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS