Pombe ilivyoiteteresha afya ya Maradona

Diego Maradona (Kushoto) akimpongeza Lionel Messi(kulia) enzi anaifundisha timu ya taifa ya Argentina.

Gwiji wa Argentina, Diego Maradona ameruhusiwa kutoka hospitalini jana na kupelekwa kwenye kliniki ya matibabu ya kuishi bila utegemezi wa pombe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS