Pombe ilivyoiteteresha afya ya Maradona Diego Maradona (Kushoto) akimpongeza Lionel Messi(kulia) enzi anaifundisha timu ya taifa ya Argentina. Gwiji wa Argentina, Diego Maradona ameruhusiwa kutoka hospitalini jana na kupelekwa kwenye kliniki ya matibabu ya kuishi bila utegemezi wa pombe. Read more about Pombe ilivyoiteteresha afya ya Maradona