Changamoto za watoto zatakiwa kuainishwa
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Dkt. John Jingu amewataka waandishi wa Habari nchini kuandika habari zinazoijenga jamii na zenye kuainisha changamoto za watoto.