RC Mbeya atoa siku 14 kwa wananchi hawa
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 14 kwa watu wote walioajiri au kuishi na watu ambao siyo raia wa Tanzania, kujisalimisha kwenye mamlaka husika kabla serikali haijawachukulia hatua kali, akidai kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na wanahatarisha usalama wa nchi.