Historia ya kiongozi wa ACT Wazalendo aliyefariki Abubakar Khamis Bakar, mwakilishi mteule wa Chama cha ACT Wazalendo jimbo la Pandani, wakati wa uhai wake. Mwakilishi mteule wa jimbo la Pandani Pemba, Abubakar Khamis, kupitia Chama cha ACT Wazalendo, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 11, 2020. Read more about Historia ya kiongozi wa ACT Wazalendo aliyefariki