"Naweza kuchanganyikiwa siku 2 au 3" - Wema Sepetu
Msanii wa filamu Wema Sepetu
Staa wa filamu na msanii wa kike mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram Wema Sepetu, amefunguka kuwa anaweza akachanganyikiwa kwa siku mbili au tatu endapo atapata mtoto wake.