Wabunge wateule wapewa maelekezo na Ofisi ya Bunge Picha ya ndani ya Bunge Ofisi ya Bunge imetoa maelekezo kwa wabunge wateule wanaotarajiwa kuapishwa kuanzia Novemba 10 hadi 12, 2020 jijini Dodoma, kuambatana na wageni wasiozidi ishirini. Read more about Wabunge wateule wapewa maelekezo na Ofisi ya Bunge