Simba inapaswa kujibu swali hili kwanza
Michuano mikubwa ngazi ya vilabu barani Afrika imewadia ambapo Tanzania bara na Visiwani imefahamu wapinzani halisi katika hatua za awali ili kusaka tiketi ya kucheza hatua ya makundi katika ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho.