Ahadi ya Rais Magufuli kwa Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameahidi kuwatumikia watanzania bila kujali itikadi za vyama wala dini ili kuendelea kukuza uchumi wa taifa katika kipindi cha miaka mitano ya awamu ya pili ya uongozi wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS