Kimenuka huko, Young Dee chupuchupu kwa Chidi Benz
Wikiendi iliyopita msanii Young Dee alizindua 'EP' yake ya Dar Es Salaama ambayo aliweza kuwaalika mastaa kadhaa kama Billnass Belle 9 Nyandu Tozzy Uchebe na wengineo ili kumsindikiza, kutoa sapoti na kufanya show kwa pamoja.