Serengeti kinara wa Hifadhi Afrika

Wanyama katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imeshinda tuzo ya kuwa hifadhi bora katika bara la Afrika kwa mwaka wa 2020 ikiwa ni mara ya pili mfululizo kushinda tuzo hizo kubwa za uhifadhi Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS