Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10, kwa nyakati tofauti.