TAKUKURU yaokoa bil.12 ujenzi stendi ya Mbezi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Bi,Zipora Liana imesema imefuatilia utekelezaji wa mradi wa stendi mpya ya mabasi mbezi na kufanikiwa kudhibiti zaidi ya shilingi bilioni 12 .