Cech arejeshwa langoni Chelsea Mlinda mlango wa Chelsea, Petr Cech kabla ya kutundika daruga. Klabu ya Chelsea imethitisha kuwa Petr Cech katika amejumuishwa kwenye kikosi cha klabu hiyocha wachezaji 25 ambacho kitashiriki ligi kuu ya Uingereza msimu huu wa 2020/21. Read more about Cech arejeshwa langoni Chelsea