Mbeya City yamtupia virago Amry Said Kocha Amry Said aliyefutwa kazi ya kikonoa kikosi cha Mbeya City. Klabu ya Mbeya City imetangaza kusitisha rasmi mkataba wa kazi na mwalimu Amry Said Juma kama kocha mkuu wa timu hiyo yenye maskani yake jijini Mbeya. Read more about Mbeya City yamtupia virago Amry Said